Jamani, nimeokota mapesa!

Mbona kunamashaka, wewe umezikwapua sehemu sasa unakuja na uongo wa kitoto kuwa "ukachungulia chini ya kiti"! Au uliona mkia wa nyoka! Usitulazimishe tuwe mashahidi wako.
 
Yesu alishawahi kusema yeye ni mwaminifu
Alisema yanayomhusu. Na mimi nasema yanayonihusu. Kwakuwa Yesu alisema Yeye ni Mchungaji wa kweli, unataka na mimi nijiite hivyo?
Biblia inaniambia: Nijitahidi kujionyesha kuwa nimekubaliwa na Mungu, mtenda kazi asiye na sababu ya kutahayari, nikitumia kwa halali neno la kweli (2 Tim 2:15).
 
Mbona kunamashaka, wewe umezikwapua sehemu sasa unakuja na uongo wa kitoto kuwa "ukachungulia chini ya kiti"! Au uliona mkia wa nyoka! Usitulazimishe tuwe mashahidi wako.
Wezi hawataingia mbinguni(1 Kor 6:10). Dhambi ya kuiba/kukwapua niliiacha siku nyingi baada ya kumpokea Yesu kuwa Bwana na Mwokozi wangu. Halafu Mkuu, wanaokwapua huwa wanatangaza ukwapuaji wao mitandaoni? Give it a second thought.
 
Unataka kujisafisha eti umeokoka na mwaminifu, pesa imedodokea chini ya kiti huku haukuwahi kumuona mtu akiingia na huo mfuko!
Ukiletwa kwangu utataja tu ulikotoka nazo, hata DNA itatumika kutoa ukweli.
 
Katika sheria ya Uislamu, mali ya kuokota, ikiwa ina thamani kubwa basi inabidi uitangaze kwa muda wa mwaka mmoja.

Baada ya hapo ikiwa hajapatikana mwenyenayo ndio inakuwa halali yako, unaweza kuitumia.
Mimi naongozwa na sheria ya Kristo
 
kwa masikitiko makubwa naona bado mpaka sasa bado hujatoa sadaka ya shukrani madhabahuni naona maneno matupu ya kushukuru mitandaoni,

hata hivyo,
Neema, Baraka na Upendo wa bwana Yesu Kristo wa Nazareth viwe nanyi nyote sasa na hata milele,

na wenye pumzi wote na wasema Aimen 🙏
 
Piga nazo picha then Uzi Post hapa ndani..

Otherwise Hance Mtanashati atakuja hapa kusema hii ni chai 😊☺️
 
Unataka kujisafisha eti umeokoka na mwaminifu, pesa imedodokea chini ya kiti huku haukuwahi kumuona mtu akiingia na huo mfuko!
Ukiletwa kwangu utataja tu ulikotoka nazo, hata DNA itatumika kutoa ukweli.
Mkuu, usihangaike na DNA. DNA test results can sometimes be misleading due to errors, contamination, or limitations in interpretation. One famous example is the case of Lydia Fairchild in the early 2000s. She was accused of fraud when a DNA test claimed she was not the biological mother of her own children. Later, it was discovered that she had chimerism—a rare condition where a person has two different sets of DNA due to absorbing a twin in the womb. Ukitaka kupata ukweli, muombe Mungu. Yeye anajua yote, anaona kila mahali. Na aliniona wakati naokota hayo mapesa. Haleluya!
 
Sheria ya kristo inasemaje?
Inasema: Usiibe 📖 Mathayo 19:18. Kuokota sio kuiba. Na nimeeleza kwamba waliokuja ofisini kwangu niliwapigia simu kuwauliza kama ni wao waliodondosha mapesa, wakakataa.
 
Watu wanachukuwa kimya kimya wewe unatangaza? Mungu kakuonea huruma kwa kuwa hujui kuwa maisha ni mchezo.
 
Hii ni serious forum. We unataka watu waamini umepata pesa toka mawinguni.
Sure. Hii ni serious forum. Ila wewe hujasoma "seriously" nilichokiandika. Nimesema nimeokota mapesa chini ya kiti. Sijasema toka mawinguni.
 
Hivi nikipooza bia kabla ya kuinywa kuna shida gani?
 
Peleka hayo mapesa yote kwa Mwamposa ukampe sadaka
 
Watu wanachukuwa kimya kimya wewe unatangaza? Mungu kakuonea huruma kwa kuwa hujui kuwa maisha ni mchezo.
Wanaochukua kimya kimya ni wezi na wanyang'anyi. Mimi sio mwizi, ndio maana niliwapigia simu wageni wangu. Wangesema ni wao walidondosha, ningewapa mapesa yao. Hapa natangaza kuwatia moyo wanaomuomba Mungu pesa, wasikate tamaa. Mungu anaweza kuwapa 💰💲
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…