Jamani nimeoteswa binti wa kunitoa upweke yuko jf!je ni wewe??

Jamani nimeoteswa binti wa kunitoa upweke yuko jf!je ni wewe??

kulwa12

Senior Member
Joined
Jun 30, 2009
Posts
103
Reaction score
28
Moyo wangu unagiza kuu

Ni mpweke sana sana...

Uko wape eh binti mwenye kujua mateso ya moyo mpweke?

Uko wape ehh binti ,wenye funguo ya kuutoa upweke wangu?

Njoo ee malaika,mrembo na ua langu usio na makuu nitakupenda milele..

usiste moyo wako usomapo ujembe huu ni wewe nae ongea nae..

Ehh Binti mpekwe ujuane samani ya kupendwa ni PM iwe mwanzo wa safari mwanana ya Bahari ya mapenzi ya dhati..

Naam njoo nakuita eeh binti sikuji kwa macho ila moyo wangu tayali wakujua!!

Miyororo ya upweke inanitesa,sikuzaliwa nikose wa kumpenda...!!

Sikia sauti yangu eeh Binti nieoteshwa itampata ha JF..usisubiri tena njoo nikupende!!



 
dah kweli hapo lugha changanya,ila ujumbe unabaki pale pale..
 
Hivi ile ya

Nikinywa maji nakuona kwenye glasi..
Nashindwa kuhema nikiona sura yako .
Mapigo ya moyo ya simama nisipo sikia
Sauti yako . Umenipofusha kwa uzuri wako .

Sina la kusema zaidi ya aliekuumba kakupendelea
Na alie kuzaa nampa hongera.

Dahhh kutongozwa miaka ya tisini
Raha kweli .. .
 
mnh hilo tongozo limekaaa la kilongi longi vile,we taja wasifu wako na unayemtafuta basii.....
 
mnh hilo tongozo limekaaa la kilongi longi vile,we taja wasifu wako na unayemtafuta basii.....
niko serious na ninachokisema na wala sio longolongo..naomba ni pm kama wataka ujue wasifu wangu siwezi mwaga hapa hadharani mapema hivi...
 
Wewe ni mtu hatari sana hapa jamvini.mbinu unayotumia ni kama alizotumia hitler,benitto(mussolin),idd amin dada,kibwetere na hiv majuzjuz bab wa samunge:'NIMEOTESHWA' kwa ves ulizomwaga hapo, ww si wa kungoja macho yafumbe,usingiz ukuchukue ksha uoteshwe! Sunguratope atakaenasa kwenye tego lako hakika atajuta!
 
Mmmh! Kwa hiyo mistar naogopa hata ku-ku PM maana siku nikikufuma utanishushia mistar kama ya ukwel vile
 
Kila heri km uko serious,
Coz hilo tangazo halioneshi userious kbs,
Mungu akupe wa kufanana nawe.
 
Big up wa miaka ya themanini na tisini, jee hiii uliwahi ipata?

Ewe binti mwenye shingo ya pingili kama muwa, macho ya gololi umeucharanga charanga moyo wangu vipande milioni moja

Oyee to the 80's and 90's boys


Hivi ile ya

Nikinywa maji nakuona kwenye glasi..
Nashindwa kuhema nikiona sura yako .
Mapigo ya moyo ya simama nisipo sikia
Sauti yako . Umenipofusha kwa uzuri wako .

Sina la kusema zaidi ya aliekuumba kakupendelea
Na alie kuzaa nampa hongera.

Dahhh kutongozwa miaka ya tisini
Raha kweli .. .
 
@Kulwa12, mi nakukubali sana kwa tongozo hili, amini wewe ni Very Romantic, keep it up
 
Back
Top Bottom