A Abuu Bardizbah Member Joined Aug 10, 2013 Posts 76 Reaction score 7 Apr 16, 2014 #1 Cha 1 kikaonyesha mstari mmoja na kama kwambali mstari wa pili akachukua cha pili ukaonyesha mstari 1 tu akasema ni salama.
Cha 1 kikaonyesha mstari mmoja na kama kwambali mstari wa pili akachukua cha pili ukaonyesha mstari 1 tu akasema ni salama.
snipa JF-Expert Member Joined Dec 10, 2013 Posts 4,437 Reaction score 2,043 Apr 16, 2014 #2 Hahaaaa Hongera bwana! Mana ungetufia hapa na pressure !
A Abuu Bardizbah Member Joined Aug 10, 2013 Posts 76 Reaction score 7 Apr 17, 2014 Thread starter #3 Hahaaaa Hongera bwana! Mana ungetufia hapa na pressure eti pressure!?usiogope
DZUDZUKU JF-Expert Member Joined Nov 8, 2012 Posts 3,909 Reaction score 2,115 Apr 17, 2014 #4 Mie binafsi huwa napima sehemu zaidi ya 2 ili kupata uhakika. Hongera kijana, baki njia kuu sasa.
utafiti JF-Expert Member Joined Jul 18, 2013 Posts 12,783 Reaction score 7,667 Apr 22, 2014 #6 Oooh ni yale majibu tata?
NAMTUMBA JF-Expert Member Joined Feb 20, 2014 Posts 1,939 Reaction score 597 Apr 22, 2014 #7 Tunasubiri majibu mengine baada ya miezi mitatu. ONYO; ukiwa mzima sio kibali cha kuwa kahaba. jitunze.
Tunasubiri majibu mengine baada ya miezi mitatu. ONYO; ukiwa mzima sio kibali cha kuwa kahaba. jitunze.
Kijana leo JF-Expert Member Joined Apr 6, 2012 Posts 2,861 Reaction score 810 Apr 22, 2014 #8 kwahiyo umepima mara 2? sasa baada ya miezi m3 nenda tena, inawezekana huo mstari wa kwa mbaali ukawa umekoza tayari. ila hongera kwa uthubutu.
kwahiyo umepima mara 2? sasa baada ya miezi m3 nenda tena, inawezekana huo mstari wa kwa mbaali ukawa umekoza tayari. ila hongera kwa uthubutu.
Makonsigwa Senior Member Joined Mar 19, 2011 Posts 177 Reaction score 76 Apr 22, 2014 #9 Kijana leo said: kwahiyo umepima mara 2? sasa baada ya miezi m3 nenda tena, inawezekana huo mstari wa kwa mbaali ukawa umekoza tayari. ila hongera kwa uthubutu. Click to expand... Kwenye bold umeharibu ladha yote ya mchuzi!
Kijana leo said: kwahiyo umepima mara 2? sasa baada ya miezi m3 nenda tena, inawezekana huo mstari wa kwa mbaali ukawa umekoza tayari. ila hongera kwa uthubutu. Click to expand... Kwenye bold umeharibu ladha yote ya mchuzi!