Habari hii siyo ya KWELI hata kidogo, Mh. HALIMA MDEE ni mzima na yupo Jimboni kwake isitoshe nimeongea naye muda huu amesema naye kapokea simu nyingi wakimuuliza habari hiyo ya UZUSHI, mods ondoeni hii habari tafadhari!!
Kweli we huna pa kwenda! Huo ni uongo kwani nilikuwa nae mchana huu, sasa hiyo ajali kapata saa ngapi na nimetoka kuongea nae punde tu? Acheni midomo michafu