Jamani ninaombeni mchango wenu juu ya madhara ya masterbertion kwa vijana

Hakuna madhara kwa vijana, madhara yatakuja baadae ukishakuwa mzee
 
Naomba kuuliza swali kabla sijachangia, sababu ya kufanya hako ka mchezo nini wakati wadada wapo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…