jamani ninatafuta mke sio demu

jamani ninatafuta mke sio demu

Maliboro

Member
Joined
Jul 28, 2012
Posts
20
Reaction score
2
kwa alie tayari aniibox ASAP hakuna kigezo chochote zaidi ya wewe mwenyewe ulivyo.
 
Hahahaaaa..... Nimelipenda tangazo lako..! Mi nina miaka 57, nakufaa?
 
OOps sorry niliona vibaya nikafiriki yeye ni 27 halafu wewe 57 unampa offer.

Hahahaaa.... Hakuna cha offer hapa, ndio maana nikamuuliza mapemaaaaaaaaa... Kama ana 27 namtakia usakaji mwema wa mke..! Ila kama ana 60 na kuendelea twaweza ongea lugha moja..!
 
kwa alie tayari aniibox ASAP hakuna kigezo chochote zaidi ya wewe mwenyewe ulivyo.
Weka angalau minimum vigezo kama mke unayemtafuta awe wa jinsi ya kike maana hii dunia ya sasa imebadilika sana mdogo wangu, wanaweza kukupm watu wa ajabu!

Sorry, nilikuwa napita tu!
 
Hahahaaa.... Umeniacha hoooiiiii..!!1
 
Hahahaaa.... Hakuna cha offer hapa, ndio maana nikamuuliza mapemaaaaaaaaa... Kama ana 27 namtakia usakaji mwema wa mke..! Ila kama ana 60 na kuendelea twaweza ongea lugha moja..!

mnhhhhhh
 
Back
Top Bottom