Jamani nisaidieni hivi ule mfumo wa mpaka DIV 5 ndiyo umetumika ??????????????

Jamani nisaidieni hivi ule mfumo wa mpaka DIV 5 ndiyo umetumika ??????????????

Joined
Jul 14, 2009
Posts
86
Reaction score
19
Wana Bodi,

Naomba mnisaidie pengine kunielewesha kwa wale wenye taarifa sahihi kama ule utaratibu wa madaraja wa wa mpaka DIVISION V ndiyo umetumika kwama matokeo ya kidato cha nne 2013/2014 ila wakajisahau kurekebisha kidogo maana naona kwenye matokeo mpaka Div IV yenye alama 44 na Div 0 yenye alama 49.

Nawasilisha
1907874_686319558085890_265469030_o.jpg
 
Back
Top Bottom