Naomba mnisaidie pengine kunielewesha kwa wale wenye taarifa sahihi kama ule utaratibu wa madaraja wa wa mpaka DIVISION V ndiyo umetumika kwama matokeo ya kidato cha nne 2013/2014 ila wakajisahau kurekebisha kidogo maana naona kwenye matokeo mpaka Div IV yenye alama 44 na Div 0 yenye alama 49.