Jamani nisaidieni-huyu dada ananipa presha.

Nimependa sana ushauri wako wa kiutu uzima.
Maisha si mashindano , kuwa ukiyamaliza kunakupewa tuzo.
Udumu dada yangu
 
Nilichojifunza maishani ni kuwa ndoa zinavunjwa na ndugu na si wana ndoa. Mimi nilikuwa nimechanganyikiwa kabisa na mpaka kuwaambia kaka na dada zangu kuhusu cheating incidence nilijua sasa ndoa imefika tamati kwani nawajua hasa dada na mdogo wangu (wote wameolewa) ni wakali sana na nilijua fika watanambia nasubiri nini, ukizingatia nina kazi nzuri.

Nilishangaa hamna aliyesema kitu walinisikiliza tu mwenyewe nawasimulia huku nalia, mwisho mdogo wangu akaniuliza do you still love your husband? Nikamwambia am not sure. Akanambia amia kwa kaka kwa muda utafakari if you can leave without him. Sikuhama. Baada ya muda nikamwambia mume wangu nimekusamehe usirudie; hakuamini alinishukuru sana nae alijua ndio namwacha hivyo.

Sasa jinsi nilivyokuwa na hasira ndugu zangu wasingekuwa na busara nisingekuwa kwenye ndoa hadi leo.

Famili nyingine ni wepesi wa kutoa miongozo ya maisha ya ndugu zao na wanachangia kuvunja ndoa.
Nimependa sana ushauri wako wa kiutu uzima.
Maisha si mashindano , kuwa ukiyamaliza kunakupewa tuzo.
Udumu dada yangu
 
Bi mdogo unaelekea balehe yako si ya siku nyingi.Kua uyaone.
Yako ya siku nyingi ingekua imekusaidia tu iwapo ungekua na maamuzi binafsi na mwenye kukubali makosa yake!!!
 
Umeni misquote dear. Nilimaanisha unaachika kwa mumeo na kwenda kutembea na wame za watu.


 


Aise pole sana japo unaisingizia pombe kiasi kwamba naanza kuishitukia story yako, kwanza hiyo out yako huwa unaifanyia chumbani kwani kila ukienda nae out lazima umgonge so nikushauri uende Radio Free Africa kuna kipindi chenu kinaitwa ushauri wako sikumbuki ni saa ngapi na siku ipi huko ndiko utapata washauri wazuri humu JF watakuyeyesha tu bro, Next time usiisingizie pombe
 
pole sana lakini unatakiwa kumrudia Mungu wako maana umefanya dhambi mbaya mno. umeisaliti ndoa yako na dhambi hiyo itakutafuna maisha yako yote. hata hivyo hongera kwa ujitambua na uache mara moja . splest thing to do ni kufuta sms zake zote na usijibu hata moja
 
Always playing STUPID! Nwy watu tuna uelewa tofauti!
Yeah kiddie!
Yeaah I am stupid , but not that stupid to note that you are a smelly ,feather brained , loud mouth.
Always quick to quip.
Since you have decided wilfully to go off topic, then its no harm to enter your turf.
Your contributions have been self serving and of no help to no body.
In fact una expose yer naivety for all to see , and that is not very smart, and well, I dont expect you to be.
May I ask?
When did you last shed off yer nappy?
Can smell the ammonia stench all the way.
 

Ndugu yangu Lole, achana na huyo mtoto.
Mimi nilitaka ushauri kutoka kwa watu wema , na nimeupata.Sasa inaelekea tunatoka nje ya mada.Najua kakuudhi na hata member wengine wameona hilo huko nyuma.
Msamehe bure.
Mie nawashukuru wote mliokuwa positive na kuliona kuwa ninatatizo la kulishughulikia.
Mubarikiwe
 
mkuu pole sana, jitahidi kuwa nae mbali sana, atakuponza. Kwa nin akufatefate hivyo? Tena kwa zaidi ya mwaka du? Au ulimshona tigo? Kuwa wazi mkuu!
 
mkuu pole sana, jitahidi kuwa nae mbali sana, atakuponza. Kwa nin akufatefate hivyo? Tena kwa zaidi ya mwaka du? Au ulimshona tigo? Kuwa wazi mkuu!
Ndugu Gagurito, nashukuru kwa pole yako.
Tigo nimeulizia kwa wenzangu na nimeambiwa ni kamchezo fulani kabayabaya hivi.Hako kamchezo situmii na ni ka mapepo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…