Jamani nisaidieni ipi lotion au mafuta mazuri ya kung'arisha ngozi

toplemon

JF-Expert Member
Joined
Mar 26, 2017
Posts
4,612
Reaction score
4,721
Ipi lotion ya kiume inafaa kwa men?isiwe inachubua na iwe inasoftisha tu ngozi

Na pia nataka ya kung'arisha kwa ajili ya demu wangu aka wife mtarajiwa
 
Hellow guys...........
Toplemon itakufaa au carolite
Nisaidieni lotion nzur ambayo inang'arisha ngozi

Iwe bei kati ya kuanzia 3000 mpaka 10000
Iwe kwenye hilo gape la 3000------na------10000

Pls wadau
Nipo serious
 
Hellow guys...........

Nisaidieni lotion nzur ambayo inang'arisha ngozi

Iwe bei kati ya kuanzia 3000 mpaka 10000
Iwe kwenye hilo gape la 3000------na------10000
Hata kwa kunipm pls
Pls wadau
Nipo serious
Sperm oil, inapatikana bure kwa wanaume tu.
 
Tumia liwa, tumia olive oil, tumia shea butter, tumia aloe vera gel. Chagua kati ya hivyo
thank you
Sea butter bei gani dear?na aloe vera gel jee?ipi inang'arisha vizur zaidi?bei zipoje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…