Jamani nisaidieni kabla sijampoteza mke wangu

Jamani nisaidieni kabla sijampoteza mke wangu

Benard tabora

Member
Joined
Aug 10, 2011
Posts
11
Reaction score
0
Wataalam mke wangu anasumbuliwa na tumbo chini ya kitovu yaani linabana sana,je naweza kutumia dawa gani ili nimnusuru naomba msaada tafadhali.
 
plz mpeleke hospitali, ikiwezekana apimwe na hata utrasound
 
muwahishe hosp mara nyingi wakiwa katika siku zao huwa wanahangaika sana
 
Back
Top Bottom