B Benard tabora Member Joined Aug 10, 2011 Posts 11 Reaction score 0 Oct 24, 2012 #1 Wataalam mke wangu anasumbuliwa na tumbo chini ya kitovu yaani linabana sana,je naweza kutumia dawa gani ili nimnusuru naomba msaada tafadhali.
Wataalam mke wangu anasumbuliwa na tumbo chini ya kitovu yaani linabana sana,je naweza kutumia dawa gani ili nimnusuru naomba msaada tafadhali.
Kilimo JF-Expert Member Joined Sep 27, 2011 Posts 777 Reaction score 194 Oct 24, 2012 #2 plz mpeleke hospitali, ikiwezekana apimwe na hata utrasound
K Kifulambute JF-Expert Member Joined May 8, 2011 Posts 2,539 Reaction score 758 Oct 24, 2012 #3 muwahishe hosp mara nyingi wakiwa katika siku zao huwa wanahangaika sana
B Benard tabora Member Joined Aug 10, 2011 Posts 11 Reaction score 0 Oct 24, 2012 Thread starter #4 Kifulambute said: muwahishe hosp mara nyingi wakiwa katika siku zao huwa wanahangaika sana Click to expand... nashukuru kwa ushauri wako
Kifulambute said: muwahishe hosp mara nyingi wakiwa katika siku zao huwa wanahangaika sana Click to expand... nashukuru kwa ushauri wako
B Benard tabora Member Joined Aug 10, 2011 Posts 11 Reaction score 0 Oct 24, 2012 Thread starter #5 isuto said: plz mpeleke hospitali, ikiwezekana apimwe na hata utrasound Click to expand... nashukuru kwa ushauri wako mkuu.
isuto said: plz mpeleke hospitali, ikiwezekana apimwe na hata utrasound Click to expand... nashukuru kwa ushauri wako mkuu.