TIBA;: Changanya glasi moja (250ml) ya maziwa na kijiko kikubwa 10ml) cha mafuta ya habat soda. Kunywa mchanganyiko huu na urudie kutwa mara tatu (1×3) kwa muda wa siku 5. tumia kisha uje unipe feedback
Nigella Sativa oil au Black seed Oil Mafuta ya Habat Soda yanapatikana mjini Dar
kwenye Maduka ya wauza Dawa za Kisunna Karibu na sokoni
Kariakoo..............Kaulize utapata huko.Au Uliza kwenya Ma-Super Market Makubwa