Jamani nisaidieni kwa hili madaktari JF, mtoto anapata shida kweli

Jamani nisaidieni kwa hili madaktari JF, mtoto anapata shida kweli

DullyJr

JF-Expert Member
Joined
Apr 10, 2011
Posts
13,983
Reaction score
11,857
Nitangulize shukrani zangu za dhati kwa ushauri wenu ambao unasaidia wengi humu!

Nina mwanangu wa kiume ambaye ana miezi 9 sasa ameanza kutembea,
tatizo la huyu mtoto ni kuwa hataki chakula cha aina yoyote ile!iwe uji,ugali,ndizi,viazi,maziwa,juisi,

yani kidogo ukimpa chungwa ndo atakula angalau kipande tu + kunyonya basi.
Nimehangaika hospitali lakini tatizo hili halijakoma na mda mwingine analia kwelikweli mpaka nachanganyikiwa hospitali wamenipa MULTI-VITAMIN SYRUP yenye VitaminA, D3, B1, B2, B6 ,B12 C, Niacinamide, D-Panthenol

Nimempa lakini hamna kitu,naomba msaada wenu jamani!njia gani ya ziada naweza kusaidia huyu mtoto
MziziMkavu na madaktari wenzio wote humu
 
Last edited by a moderator:
Labda ana mzimu wa kwao,fanya reseach yumkini baba anayemlea ni baba feki...mpeleke kwa biological one kisha urudi hapa kuja kuelezea mafanikio!
 
Labda ana mzimu wa kwao,fanya reseach yumkini baba anayemlea ni baba feki...mpeleke kwa biological one kisha urudi hapa kuja kuelezea mafanikio!

nashkuru kwa ushauri,ntaufanyia kazi
 
Nitangulize shukrani zangu za dhati kwa ushauri wenu ambao unasaidia wengi humu!

Nina mwanangu wa kiume ambaye ana miezi 9 sasa ameanza kutembea,
tatizo la huyu mtoto ni kuwa hataki chakula cha aina yoyote ile!iwe uji,ugali,ndizi,viazi,maziwa,juisi,

yani kidogo ukimpa chungwa ndo atakula angalau kipande tu + kunyonya basi.
Nimehangaika hospitali lakini tatizo hili halijakoma na mda mwingine analia kwelikweli mpaka nachanganyikiwa
hospitali wamenipa MULTI-VITAMIN SYRUP
yenye VitaminA,D3,B1,B2,B6,B12,C,Niacinamide,D-Panthenol

nimempa lakini hamna kitu,naomba msaada wenu jamani!njia gani ya ziada naweza kusaidia huyu mtoto
MziziMkavu na madaktari wenzio wote humu

Mimi wakwangu ni wa kike anamiezi tisa pia,na aliacha kula tangu akiwa na miezi saba,alikua hataki chochote zaidi ya kunyonya,nimehangaika kwa madaktari bingwa wote wakasema hana tatizo lolote,hospitali zote nimemali hamna kitu,alikua anapoteza uzito tuuu hadi akabakiwa na kilo tano,nikampeleka kwa wachina wakanipa dawa lishe ambayo ni calcium powder(calcium super nutrients for children).

Tangia nimeanza kupa hiyo calcium mtoto anakula hadi analilia chakula, pia wakanishauri kama sina uwezo wa kununua hiyo calcium pia unaweza kukausha mifupa ya samaki kwenye jua halafu unaisaga then ule unga wa mifupa ya samaki unampa mtoto kila siku kijiko kimoja,ni dawa nzuri sana kwa watoto wasiokula, inawapa apetite.
 
mimi wakwangu ni wa kike anamiezi tisa pia,na aliacha kula tangu akiwa na miezi saba,alikua hataki chochote zaidi ya kunyonya,nimehangaika kwa madaktari bingwa wote wakasema hana tatizo lolote,hospitali zote nimemali hamna kitu,alikua anapoteza uzito tuuu hadi akabakiwa na kilo tano,nikampeleka kwa wachina wakanipa dawa lishe ambayo ni calcium powder(calcium super nutrients for children) tangia nimeanza kupa hiyo calcium mtoto anakula hadi analilia chakula,pia wakanishauri kama sina uwezo wa kununua hiyo calcium pia unaweza kukausha mifupa ya samaki kwenye jua halafu unaisaga then ule unga wa mifupa ya samaki unampa mtoto kila siku kijiko kimoja,ni dawa nzuri sana kwa watoto wasiokula,inawapa apetite

nashkuru sana,nitalifanyia kazi ndgu yangu
 
Back
Top Bottom