Eng. Smasher
JF-Expert Member
- Nov 13, 2010
- 745
- 23
- Thread starter
-
- #21
I dont think is a good idea,,, what u have to do is go on with someone else na utasahau tuu nini kilipita,,,kwani wenzio wako kwenye ndoa tayari kama kweli wampenda basi muache muokoe na mitihani kama hiyo,,,na we tafuta wako kwani hata wazazi wake hawkutaki,,,
Mambo vipi familia kubwa ya JF!!
Kwanza naomba samahani kwa hii maada lakini nipo serious kupita maelezo!!
Nilikuwa na demu wangu 2lipendana sana lakini wazazi wake walimpenda zaidi coz waligoma nisimwoe mwanae akawa kaolewa na jamaa mwenye pesa!
Sasa hivi wapo kwenye ndoa wiki 2 lakini naendelea kula TUNDA kama kawa na tunachat nae muda wote hata kuwasiliana full tym!Binti ananipenda na yupo tayari kwa lolote!!
Kabla hajaolewa nilimvisha PETE ya uchumba then jamaa kamalizia PETE ya NDOA!!
Ni kama movie lakini ni kweli sasa hivi 2na mpango wa kumfanya jamaa atoe TARAKA!!
Jamani naomba mnisaidie mbinu za kufanya jamaa atoe talaka coz 2na mipango mingi sana na huyu Binti lazima nimwoe hata kama ni Bomani!! Nifanye nini??!!
Tulia mpwa, utamu upo popote sio kwa huyo tu, huyo ni shetani anaekufanya uone kua huwezi toka ukafanya maamuzi yako binafsi! be the Man, nitafurahi kama utaahidi kubadilika kabla ya mwaka mpya kuanza
Mkuu mke wa mtu sumu!! angalia sana kaka tusije kukuona kwenye mitandao umeinamishwa na madume menzako yanakupumulia kisogoni
tena kama umesema jamaa ana hela ogopa kama ukoma... atakufanyizia huyo anakulia tyming tu.. itunze tigo yako mkuu ni ushauri tu kaka no disrespect intended nimeshuhudia mtu akifanyiwa unyama kaka hadi leo hajarecover kawa kama chizi
Mambo vipi familia kubwa ya JF!!
Kwanza naomba samahani kwa hii maada lakini nipo serious kupita maelezo!!
Nilikuwa na demu wangu 2lipendana sana lakini wazazi wake walimpenda zaidi coz waligoma nisimwoe mwanae akawa kaolewa na jamaa mwenye pesa!
Sasa hivi wapo kwenye ndoa wiki 2 lakini naendelea kula TUNDA kama kawa na tunachat nae muda wote hata kuwasiliana full tym!Binti ananipenda na yupo tayari kwa lolote!!
Kabla hajaolewa nilimvisha PETE ya uchumba then jamaa kamalizia PETE ya NDOA!!
Ni kama movie lakini ni kweli sasa hivi 2na mpango wa kumfanya jamaa atoe TARAKA!!
Jamani naomba mnisaidie mbinu za kufanya jamaa atoe talaka coz 2na mipango mingi sana na huyu Binti lazima nimwoe hata kama ni Bomani!! Nifanye nini??!!
Hujambo mama?wamchokoza bwana mapesa umechoka kuishi weye. Kama aliweza kuweka pete ya ndoa juu ya pete yako ya uchumba cpati picha atakachokufanya nadhan aweza kukunyofoa hiyo ZUBRI halafu urudi hapa ku2uuliza utapata wapi ya kichina u replace
Mi naona ukifumaniwa nae itakuwa vema zaidi. We waonaje? Mumewe na ndg wakiwafumania ndoa kwisha talaka hapo hapo! Waalikeni wote kianina, mumewe, wazazi wake na rafiki zake wakifika wanawafumania. Jibu ndo hilo hakuna njia ya mkato hapo. :banplease:
wamchokoza bwana mapesa umechoka kuishi weye. Kama aliweza kuweka pete ya ndoa juu ya pete yako ya uchumba cpati picha atakachokufanya nadhan aweza kukunyofoa hiyo ZUBRI halafu urudi hapa ku2uuliza utapata wapi ya kichina u replace
Hujambo mama?
nsha ununua kabsaa....kesho tukutane makuti pale nikupatie zawdi yako!mzima dearest, usisahau ulanzi ujue, wapita lini nije nikupokee?
mzima dearest, usisahau ulanzi ujue, wapita lini nije nikupokee?
nsha ununua kabsaa....kesho tukutane makuti pale nikupatie zawdi yako!
Asee mamito usikose kuja ntakua na Pope Keizer.ewaa, sasa hapo tupo pamoja...mwambia kabisa tutakuwa wote.....
kuna kitu unakitafuta kutoka kwa mme wa huyo dada na atakupa tu wewe endelea kumlia mkewe kuna msemo husema muosha huoshwa sasa wewe umeshaosha kinachofuata ni wewe kuoshwa tena kwa bila mateSawa wapo wengi but not lyk her coz nimeshajaribu lakini nimeshindwa!!
Naona THERE IZ NO ONE LYK HER!! Pls nipe mbinu
sijui njia za kutenganisha ndoa .....but fight for what you think will make you happy in life.