Jamani Nisaidieni Mbinu za Kutenganisha Wanandoa!!!

ama kweli kupenda upofu.lakini haya mambo ya kulazimisha ndoa bado yapo.kuna ndugu yangu mmoja amelazimishwa kuolewa na mtu ambae hajampenda.binti alilia vilio vyote kuwa hataki,lakini wazazi wamemlazimisha hivyo hivyo,mpaka alitishia akiolewa tu atafanya visa ili aachike.hao wazazi wanaamini binti akikaa muda mrefu maybe atakuwa na wanaume,kwani huyo binti ametulia sana na kaolewa na bikira yake.kwa hiyo hayo mambo yapo.Ameolewa tu kuwaridhisha wazazi,wazazi wanaamini baadae huyo mume atamzoea na atampenda
 

Huyo binti ni mkware tu angekua anakupenda kama unavyodai asingekubali kuolewa. Kuna mifano mingi ya mabinti waliotoroshwa toka majumbani mwao kwa kukimbia kuolewa na watu wasiowakubali. Lakini huyo wa kwako mmmh!!! Tapeli tu. Huyo anahitaji kumegwa zaidi ya kuolewa. Ukifanikiwa kumtoa kwa mumewe na kumuoa atatafuta mtu mwingine wa kummega nje ya ndoa.
 
Alikubali ili awaridhishe wazazi wake!!
Anavunja ndoa kuonesha TRUE LOVE aliyonayo kwangu!!
Unajua ukikataa kuolewa ni kitu kikubwa but TARAKA haitawashi2a wazazi watasema 2limlazmisha!!
true love?? hamna lolote ES anakuhadaa anapenda tu uendelee kummega hakuna cha zaidi labda mwenye mipesa hamridhishi upande wa 6 x 6
 
Hapo umenena KISUKARI mwaga MBINU sasa!!!

 
Kama stori ya kutunga vile!!!Anyway kama ni kweli basi kuna mambo yafikirie kwa kina:-1.Mtenda hutendwa 2.Huyo dada hajatulia,ukimchukua anaweza kuwa anaenda kuchukua pesa kwa jamaa(c anazo),kama mnataka kuendelea kusaidiana kuchakachua sawa.3.Demu mwenyewe utulivu ziro-hana mcmamo,atulie na mmoja.fikiria hayo kwa KINA utapata jibu
 

Sikutegemea kama wewe rose1980 unaweza kutoa ushauri kama huo!!!!! Kumbe na wewe siku mojo moja huwa unatoa pumba???!!! Yaani unashauri mwanamke mwenzio aliye ndani ya ndoa aendelee kumegwa!!! Kweli nimeamini kuwa wanawake hampendani wenyewe kwa wenyewe. Ushauri huu haufai, utaangamia jamaa akiju kwa hujui huyo jamaa amempenda kiasi gani huyo dada


jaribu kujiweka katika nafasi ya huyo mume, kisha kuna mtu anakugongea mke wako na anataka kuachanisha ndoa yenu, wewe ungejisikiaje?

Angesikia uchungu kwani mkuki kwa nguruwe kwa binaaddamu uchungu





Hayo yote ni majibu sahihi, chagua moja linalokupendeza. Huyo mke hangekuwa mwema kwako
Burudika na nyimbo hizi




 
Last edited by a moderator:
mie sioni tatizo hapa,kwa nini umtoroshe????anakupa unamega tani yako...mnawasiliana vya kutosha anytime,nini unachokikosa sasa hivi mpaka ufikirie kumtorosha????wacha uchoyo na ubinafsi...kula na mwanaume mwenzio.:redfaces::whoo:
 

Usitushirikishe ma dhambi yako, kilichounganishwa na mungu mwanadam hawezi kikitenganisha, huyo kicheche wako ni mcharuko hata akija kwako mumewe ataendelea kumkula vilevile so wewe usijione kidumee ni vile huyo dada haridhiki na moja. Unasema yuko tayari kwa lolo na anakupenda that is BIG NO, Kwanini hakufanya lolote alivozuiliwa kuolewa na wewe? Hivi wewe kwanini hufikirii kwenda huko, kwao hawakupendi upo tu kwani lazima.
 
Wewe inabidi uwe mama ushauri mkuu, maana hii ndo altimatum hamna zaidi la kumshauri
 
Siku moja utamkuta amecharangwa kama kondoo aliyekamatwa na simba. Achana na hiyo habari, akimkuta siku hiyo!!! atajuta kuzaliwa
mie sioni tatizo hapa,kwa nini umtoroshe????anakupa unamega tani yako...mnawasiliana vya kutosha anytime,nini unachokikosa sasa hivi mpaka ufikirie kumtorosha????wacha uchoyo na ubinafsi...kula na mwanaume mwenzio.:redfaces::whoo:
 
Ama kweliunajua kupenda, Sheria ya ndoa imeanisha matendo kadhaa ambayo yanaweza kuvunja ndoa!Mojawapo ni uzinzi :hungry: Sasa ili mfanikishe azma yenu jilengesheni awafumanie! ka vyovyote ndoa haitakuwepo ...😱 .....hilo linawezekana kama hatakuwa na silaha karibu au kama yeye si Mhehe!
 
Nimekupata Mkuu natamani sana KUFUMANIWA lakini............ntawajibu kesho
coz now naenda KULALA kwanza nitafakari na MBINU nyingine!!!

 
Kilichounganishwa na MUNGU......! Hivi ni kweli Mungu hawezi kuunganisha watu wa aina hii hawa wameunganishwa na shetan! Hi mistari mingine ya Dini inatumika vibaya kuhalalaisha mateso katiaka ndoa....! Smambo yote yanayofanywa na DINI za leo naya Kimungu!
 

pole sana kwa yaliyokukuta, ujue una roho ya uzinzi, nani alikuambia kufanya uasherati na mke wa mtu kunakupa uhalali wa kuwa mkeo mtarajiwa, usijidanganye kwa kuzini kunakupa njia ya kuoa. Kumbuka kuoa mke mwema kunatokana na ushetani unaofanya. Forget about that, sory fo strong language lakin i hav 2. Kama unabisha keep on, it wil back fire! Nakuombea kwa Mungu ufunguke macho uone reality then you face the quencequense right in frönt of ur face. Huwezi jua ni kuwa uliepushwa na janga lililokuwa mbele yako.
 
Duh
Yaani hii ni XXXL Eng upo tayari heshima ishuke lakini kimwana umeoa,sasa kuna mambo mawili ili kufanikisha ili swala lako ila kabla ya yote inatakiwa uwe tayari na huyo binti pia maana ni hatari lakini salama.

1. Inatakiwa ujue huyo jamaa anampenda kiasi gani huyo binti (Anaweza mfumania na wewe kitandani kwake akamsamehe ndoa iendelee ila akadeal na wewe inavyotakiwa)
2.Huyo binti ana nia thabiti yakufanya hivyo maana asije kumridhisha mwingine matakwa yake
3. Jamaa anahasira level gani (kuna watu hawana mchezo kwenye kutunza heshima anaweza kukufanyia kitu mbaya aisee)

Ukipata majibu ya haya na ukaridhika kuendelea na zoezi
-Anzaa kwa kumtia mimba binti
Naendelea kufikiria ...........nitareje.

NB: hii ni hatari kwa afya yako na si vizuri kutenganisha ndoa tafuta msichana mwingine,ila mtoto akililia uwembe mpe panga.
 
kweli naona unatamani mungu akupumzishe kwa amani. Kwa heri mi ngoja nilale kidogo nipime hichi kitanda kama kitafaa kwa matumiz kesho

hv unafikiri Mungu anahongwa, i'm very bitter on this. Sitakushauri kuvunja ndoa ya mtu kwa maslahi yako. Yani binti anakubal kuzini akiwa honey moon? Huu ni ushetani. Ndugu yangu anza maisha yako upya. Sioni mantiki ya anayedaiwa eti aliolewa kuridhisha wazazi wake, aah wapi kalangabaho... Kama ni kweli hajui kupenda ni nini. Na kama ni hivyo hata wewe hakupeni ni tamaa tu ya ngono, trust me atakapopata mwanaume mwingine aliyemnogea na wewe atakusaliti. Utapimiwa kipimo hichohicho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…