jamani nisaidieni nna shida sana

jamani nisaidieni nna shida sana

Joined
Sep 29, 2011
Posts
13
Reaction score
1
ndugu zangu nimesahau password ya TCU
nataka ku loggin nicheck kama nime qualify ama nimedisqualfy vyuo ambavyo nlifanya chaguzi
NAOMBENI MSAADA WENU TAFADHALI
 
Bofya sehemu ya Forgot Your Password? Utapata msaada
 
Back
Top Bottom