Inategemea unamwambia vipi unamfokea au kwa dharau hebu badili mbinu kwa kuongea nae polepole na mpe nafasi nae ajibu.Kuhusu kuangalia simu yake acha kabisa ni tabia mbaya mpe uhuru kwenye simu yake.
mke wangu akifanya kosa,.hapendi kuambiwa,nikimwambia ananuna wiki nzima,nikicheki simu zake nakuta msg za mamake akimpa pole na ushauri kana kwamba nimekosea kumwambia makosa yake,tena pasipo hata kuniuliza ili abalance story,naombeni ushauri jamani maana sina amani nyumbani kwangu mwenyewe.
kibaya zaidi ni kwamba anarudia makosa yaleyale,sijui ni makusudi?au anapenda tuvurugane tu
Kama umeyumia mdomo haijasaidia anza kumzabua vibao anune mwezi mzima baadae atajirekebisha
Kweli humu kuna wazee khasa!Dingi, pole sana mkuu, jinsi ninavyo ona mimi mke wako ni katika wale watoto waliozoea kudekezwa na wazazi wao tangia wakiwa wadogo...! Na hayo ni matokeo yake, chakufanya hapo ni kukaa naye chini na kuongea naye kiustaarabu bila kumfokea...! Kama ataendelea na tabia ya kununa basi cha kufanya ni kumwita mama yake mkae pamoja nyote watatu na muyazungumze kiuwazi na kutoa dukuduku lako. Naye ikiwezekana aseme kile kinachomfanya kununa nuna na kisha mama mkwe naye atoe nasaha zake.
Baada ya hapo kama hali itaendelea basi cha kufanya ni kuwaita wazee wako, pamoja na wazee wake mkeo na kuwaeleza tatizo lililopo kati yako wewe na mkeo na hatua ulizochokuwa kabla ya hapo.
Nakutakia kila la kheri kwenye ndoa yako.
Ndio ukubwa wenyewe huoaisee mie nina matatizo nini? siwezi na sijawahi kushataki na sitarajii kufanya hivyo tena kwa mambo ya kitoto2, tutakunjana wenyewe na kunyooshana wenyewe ndani kwa ndani, nikienda kwa maza labda hali ni mbaya kweli kweli!
pole mkuu , mama yake ndiyo anampa kiburi huyu, mwambie mambo y andani aache kuyatoa nje au vipi mchenjiemke wangu akifanya kosa,.hapendi kuambiwa,nikimwambia ananuna wiki nzima,nikicheki simu zake nakuta msg za mamake akimpa pole na ushauri kana kwamba nimekosea kumwambia makosa yake,tena pasipo hata kuniuliza ili abalance story,naombeni ushauri jamani maana sina amani nyumbani kwangu mwenyewe.
kibaya zaidi ni kwamba anarudia makosa yaleyale,sijui ni makusudi?au anapenda tuvurugane tu