mdogo wangu alifika STD 3 hajuwi kabisa kusoma, mama alimkazania kumfundisha mwenyewe, kila akitoka shule, Huwezi amini ndugu yangu, STD 7 alikua wa kwanza, kaenda o'lvl akapata Dvn. one, tunawait matokeo ya A'lvl alikua PCB, mkazanie mwenyewe walimu wengine hakuna kitu..