Unapoanzisha uzi wa kutaka MSAADA jitahidi ueleze machache upate kusaidiwa,
1)uko wap Yaani mahali unapotaka biashara uanzishe
2)bajeti yako yaan kianzio au mtaji kwa ujumla
3)una uzoefu na biashara Yoyote ukiacha Hiyo ya bucha
4)na mengineyo, ili uweze kusaidiwa kidogo au Zaid