Kwenye bei ya mbolea serikali imejitahidi pakubwa sanaaaaaa,Hii serikali yetu nayo ya ajabu, sasa kama inatangaza BBT kwa vijana kujiingiza katika kilimo kwa nini isi regulate bei ya mbolea iwe rahisi kuinunua vijana tujiingize katika kilimo tuzalishe mazao ya kilimo ya kutosha? Tumejiingiza kwenye kilimo ila tatizo ni bei kubwa ya mbolea ni kikwazo kwenye kilimo. Tunatumia gharama kwenye mbegu usipoweka mbolea unavuna kidogo inakuwa ni hasara tupu mazao hayastawi vizuri
2007-2020 tulikuwa tunapata mbolea popote karibu na makazi yetu tena kwa bei bwerere mara ghafla akajitokeza chizi mmoja akaleta ujuaji wake leo tuko hapa.Yaani ukisikia kufikiria mpaka kufika kwenye bar ndo huku
Mwenzenu Nina heka nne za mahindi na Mungu kanisaidia mahindi yako vizuri natamani nipate mfuko mmoja wa MBOLEA nikuzie angalau hekta moja tu ili Nije nivune mazao yakuridhisha...