Ebu nisaidie jamani zamani mabest na mademu zangu walikuwa wakiniomba elfu moja wanasema naomba buku lakini siku hizi wakiniomba wanasema naomba elfu moja mpaka najiuliza kwann au ndo msisitizo ili niwapatie iyo ela ebu nisaidieni au safari ya dom imekaribia
mh hilo neno bado lipo, na linatumika ila tu elewa si lugha rasmi, mtu analitumia kuchangamsha maongezi kuyafanya yaonekane ya kiujana zaidi, ila anayeomba elfu moja pia anaelewa kuwa pia huitwa buku