Jamani nna swali nijibuni..

usije ukapendwa wakati haupendi.penda kila mtu.but kwenye mambo ya love.penda unapopenda na kupendwa.make sure unapenda na kupendwa.side moja haifai
 
vyote viwili havina formula, what matters ni muda ule ulio naye! hapo onyesha upendo wote ulio nao, akivuka tu kizingiti cha mlango, waachie wenzio! raha ya mjini vijiti kupokezana!
 
vyote viwili havina formula, what matters ni muda ule ulio naye! hapo onyesha upendo wote ulio nao, akivuka tu kizingiti cha mlango, waachie wenzio! raha ya mjini vijiti kupokezana!

Makubwa haya bora nirudi kwetu kijijini
 
Hata kupenda nako pia kuna raha Shem



Kweli kabisa shemeji yangu kupenda nako raha lakini jua kuwa ni raha zaidi unapopendwa na kujua kuwa unapendwa ambako hukufanya nawe upende.

Kupenda pasipo kupendwa kuna maumivu yake aisee. Kupendwa kunakupa nguvu, moyo, hamu na raha ya kupenda.
 
Last edited by a moderator:
Reactions: BAK
jamani wana f\jf, naombeni msaada jinsi ya kuapply kazi form utumishi mana napata utata, mfano kazi ina waajiri wengi ie wizara aya fedha, wizara ya maji n.k, je nkiapply tume ya ajira mojakwamoja watajua naaply kwa mwajiri yupi? au nafanyaje? mfano hizi post za juzijuzi kazi ya assistanjt accountant posts 60.help me please
 
kupenda kuna raha jamani we acha tu, saa nyingine unaweweseka mpaka raha
 

peleka jukwaa husika mkuu.

lakini jambo la muhim kwenye tittle ya kazi andika sehem unayotaka ajira. vile vile andika hizo details ziweke nje ya bahasha
 
Ivi kupenda na kupendwa kupi kuna maraha?

Kupendwa huwa kuna raha zaidi, ila inategemea unapendwa na nani! Ni usumbufu na mara nyingine ni kero sana kupendwa na usiye mpenda! Haujawahi ku-experience hii hali?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…