raha ni raha kupendwa na kupenda kunategemea na mazigira lakini yote ni maudhi sana maana ikitokea mmoja kapenda sana lakini mwingine hapendi ndipo utaoja machungu
kweli inategemeana na m2 na hisia ulizonazo kwake maana kunawengne hata ukisikia sauti yake ama akikucall 2 bax jamaa anacmama so m nasema n hali 2 ya m2 kwa mwenza wake