Jamani ntamuachaje huyu msichana?

kweli we cjui nikuiteje mana nashindwa hata kuwaza unawaza nn na hiyo elimu yako sasa unauliza nn hapo kwani hujui ka utamuumiza koz yy kakaa mda wote huo umepiga 4m5 na 6 zen chuo cjui miaka mingapi yy yuko tu lazima umuumize tena kishenzi ............ungemuambia mapema kabisa na unavozidi kuchelewa ndio mazara yanakuja kua makubwa zaidi ..............alafu ww unandevu si ndio wakati kuna watu hawana ndevu wanaomba ziwaote hata kama zikiwa na mvi tayari yy hajali mradi awe nazo na kufanya maamuzi sahihi
 

Punguza munkari basi ustaadhati, jazba hazifai hivo..
 
Wewe huna haya wala hujui vibaya. wewe ni miongoni mwa wavulana ambao huwaharibia maisha wasichana na baadae kuwabwaga. Umemshawishi binti wa watu ukazini nae kisha kwa sababu umesoma zaidi yake sasa humtaki umemkosea mungu na jamii kwa ujumla unamdhalilisha dada wa watu kwa kujifanya wewe ni bora kuliko yeye mbaya zaidi unataka kutushirikisha katika umaluuni wako. Haufai kanisani , haufai msikitini
 
ukikaa kimya utakuwa umefanya vibaya kwa kumpotezea muda,cha msingi mwambie mapema ili nae apange maisha yake mapema.kama moyo wako haupo kwake,husimchukue kabisa maana utamtesa baadae.ni hayo tu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…