Jamani nyie ma-engineer nyieeee!!

hahaha na huyo anaefanya demonstration hapo ndio engineer mwenyewe au!!![emoji23][emoji23][emoji23]
 
Naona ulimwambia mwenyewe
Haja kubwa huku na haja ndogo huko
Sasa kosa liko wapi
Itabidi upige sarakasi tu
 
Mkuu sarakasi pekee ntakazopiga ni za kumtafuta fundiiii....a nataka kutuchana misambaa tu na sio kinginee,
Hahahahahahaha acha nikusaidie kumtafuta kwenye matangazo ya biashara
Maana utakuta anajisifia
 
Kabisaa mkuu hapo utakua umenisaidia,maana kujenga choo kingine siwezi ni gharama,..yaan hapa kilichobaki ni kuwafundisha watoto ukakamavu wa kuning'inia kwenye ilo dude la toilet paper...
Uweke na ubao "at your own risk
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…