Kabisa yaani mkuu wanajiona mno .Hasa maHR hua wanajiona kama wapo mbinguni vile.
Hawa jamaa wanazingua ila kuna siku tutakutana maeneo ambayo atajuta kufanya ujinga ule.huwezi amini mkulungwa nilikosa kabisa field,kila nikienda wanadengua. nikatoka dar nikaenda mkoani wapi! mwisho muda ukaisha bila field hatimaye nikawa graduate mwenye GPA 4.2 bila ka uzoefu kokote hata invoice inavyofanana sijui.
Mwisho wa siku nimekuwa ndo fundi mkali wao. Usikate tamaa mwana
Mkuu usiwaze kila kitu kitakua sawa mwenyewe hio kampun ni kama ya tano ndo nikapata.Alisikika graduate mmoja aliekosa kazi
hapo kwenye kulipa kisasi ndo unapokosea. usikute hata hao wanaokupotezea wanalipa kisasi cha wao kufanyiwa kama weweHawa jamaa wanazingua ila kuna siku tutakutana maeneo ambayo atajuta kufanya ujinga ule.
Siwezi kilipa ila nitamkumbu asha tu vile alinifanyiaga ili akawe kielelezo kwa wenginehapo kwenye kulipa kisasi ndo unapokosea. usikute hata hao wanaokupotezea wanalipa kisasi cha wao kufanyiwa kama wewe
Hiko ndio kikubwa mkuu, hayo mengine waachie wenyewe.Ebana nilifanikiwa Mkuu