Jamani ombi langu liko palepale!

Jamani ombi langu liko palepale!

makusafrank

Member
Joined
Dec 6, 2012
Posts
27
Reaction score
5
mwenzenu natafuta mwanaume wa kufunga naye pingu za maisha umri usiochini ya miaka45. niko seriously
 
Daah umri mkubwa sana sasiimebaki miaka 7 ya kuishi mtz sianashi 52 years au.
 
asanteni kwa majibu yenu. Ila ushauri wangu nikwamba kama hujisikii kumsaidia mtu usijibu majibu ya dharau kumbuka mtenda hutendewa. nice day
 
Back
Top Bottom