Jamani Pogba na Man UTD yake Huu utani sasa umezidi

morinho kaenda kijijini kwa Pogba kuuliza kama dogo aliaga home
 
Hapo ndio utagundua uchawi Afrika upo, kweli tena babu na bibi zetu wanajituma
 
tatizo la muafrika ni muafrika mwenyewe angekuwa mzungu hizi troll zisingekuwepo mnatia aibu waafrika wenzangu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…