mgangawaukoo
JF-Expert Member
- May 8, 2016
- 2,183
- 2,390
Huu mwandiko kama naufananisha vile,Habar za kazi ndugu zangu?kwa moyo wangu mkunjufu naomba kupokelewa kwa mikono yote miwili...naahidi kuwa muadilifu na chachu ya kufikia wat we want...ampapo..ni dhamila muhimu..naomba mnipokee naitwa jijo..from tbr.
Hahahahahaa si tumuone jamani mgeni wetuUmenichekesha weye! Lol! Karibu sana Joji.
nataka tuongee tufanye biashara ya asaliHabar za kazi ndugu zangu?kwa moyo wangu mkunjufu naomba kupokelewa kwa mikono yote miwili...naahidi kuwa muadilifu na chachu ya kufikia wat we want...ampapo..ni dhamila muhimu..naomba mnipokee naitwa jijo..from tbr.
Majina ya aina hii chura anakuwepogi ..........Chura ipoo?
Mgeni keshakuwa mwenyeji sasa na bwana kapata tyr ana shake nae before useHaya karibu mgeni
Eti eehMgeni keshakuwa mwenyeji sasa na bwana kapata tyr ana shake nae before use
Chemchem,hahahahah (utani)karibu dada,,tbr uyuwii auu
Hahaha dah kweli hali ngumu mpk chura inabagua majinaMajina ya aina hii chura anakuwepogi ..........
Weka picha yako fulu
Jina halisi bila picha tupia kapicha kidogo.
Bila picha huwezi kupokelewa hapa
Chura ipoo?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji85] [emoji85] [emoji85] ahsante kuifanya mchana wako uwe mzuriHizi ni baadhi ya nukuu zilizonivunja mbavu mchana huu. Ahsante JF, narudia tena kuapa nikiwa akili zangu timamu bila kushurutishwa na mtu kuwa JF sing'oooki ng'ooooooooo hahahaha