Jamani SASATEL WANANIIBIA

No admission

JF-Expert Member
Joined
Nov 26, 2011
Posts
215
Reaction score
68
Wana JF leo nimeamua kuwaanika SASATEL wanavyo niibia. Mimi natumia modem ya SASATEL na nanunua kifurushi cha mwezi. Linalonishangaza kila nikinunua wananikatia huduma siku moja kabla ya tarehe niliyojiunga. Yaani nilijiunga na SASATEL tar 26 March 2011 kwahiyo hata kama nitacharge modem yangu tar 2 ya mwezi watanikatia huduma tar 25 ya mwezi huo huo badala ya tar 1 mwezi ujao. Nimeshalalamika lakini hawajanisikia. Naomba munishauri nifanyeje je nihame lakini na hawa SASATEL wataendele kutuibia mpaka lini???
 
Hivi inafaa kuflash modem yao niweke ya mtandao mwingine niepuke hasara ya kununua mpya??
 
mkuu si uhamie Airtel....hata gharama zao si kubwa na isitoshe huwa samtaims wanakupa kasiku kamoja zaidi cha kumalizia salio lako......
 
nafikiri kuhamia mtandao mwingine sema sijajua speed ya hiyo motandao kwa gharama ile ile 30,000 kwa mwezi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…