Jamani sehemu gani nzuri ya kuishi mkoa wa Mbeya?

Jamani sehemu gani nzuri ya kuishi mkoa wa Mbeya?

44mg44

JF-Expert Member
Joined
Jun 16, 2019
Posts
2,158
Reaction score
2,186
Jamani nisaidieni natafuta makao mwenzenu.
 
Inategemea anataka wilaya gani..
Huwezi ukasema tu mbeya,,mbeya Ni kubwa.
Angespecify Kama Ni mbeya mjini ama mbeya wilayani na aseme wilaya gani ..
Hapo naweza toa ushauri wa eneo la kujenga ama kupanga.
Uyole vipi ?
 
Back
Top Bottom