kweli haya matokeo ya madogo yanatupa pressure sana, dogo nahisi asipopata post ya serikali atanifilisi mwaka huu, ana 3 ya point 24 na kombi za PCM, PCB, PGM na EGM ana C moja moja kila kombi, yaani amepata C ya B/maths, C ya Biology, C ya Civics na C ya Kiswahili, sijui km watamchukua aisee. anyway, nazingatia ushauri wa SIZINGA