Jamani selection za TCU ni lini?

Salary Slip

Platinum Member
Joined
Apr 3, 2012
Posts
49,390
Reaction score
152,301
Kwa mwenye taarifa kuhusu hizi selection za TCU naomba atujuze, maana walishwahi kusema kupitia gazeti la mwananchi kuwa selection ingefanyika trh 15/07/2012 ila mpaka leo naona kimya.
Majibu kwa anaejua.
 
Mmh na mimi ninataka kujua kilimokimenichosha wandugu
 
hawa jamaa chenga kweli, hawaaminiki bt naamini within this week mambo yatakuwa mtandaoni
 
Selection bado sana,mpaka mwezi wa tisa mwanzoni,
 
yatakuwa tu! Hebu tembeleeni jukwaa la jokes na chit chat mpunguze presha
 
punguzeni mchecheto mbona huulizi second round ya application inaanza lini?????????? mwaka jana walifanya had 4th round
 
TCU Wameshafanya selection majina yako loanboard, najua kuna wabishi lakini habari niliyopewa ndo hiyo but siwalazimishi muamini.
 
usihofu unataka kunya kabla ya kukojoa? Vyuo vnaanza mwez wa 9 sahz mwez wa 7 tuliza mzuka,au result halivutii
 
Hawa jamaa(tcu) hawaaminiki,mwaka jana walianza early july,wakaja sometime in july,august... ma mambo mengne kama hayo. Kuweni wavumilivu mambo yatatoka tu.
 
Mtu aweke contacts zao tuwastue.

1. +255-22-2772657
2. +255 22 2772869
3 FAX
+255-22-2772891
4. E-mail
admission@tcu.go.tz.
5. dad@tcu.go.tz
6.TCU Website
NASHINDWA KUWEKA
NAMBA ZA SIMU ZA
MKONONI
KWASABABU ZOTE 5
HAZIPATIKANI
LAKINI KAMA
MTAHITAJI
NITAZIWEKA NingaR
 
nahisi kama mwaka jana walichelewa kuyaachia bas this year i thnk by the mid or starting of september watayatangaza....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…