mambo vipi wadau????
Kana shamba zuri sana naliuza wakuu maeneo ya kibada-dar-es-salaam linafaa kwa mengi kama shule n.k.bei tsh 70 milioni.
Naomba kwa wadau wenye uwezo au wanaweza nipatia mteja nitafurahi sana..
Nb: Bei pia inaongeleka kwa mtu aliye serious.
mawasiliano: 0655-126622 ...
mambo yale yale ya gezaulole! Watu wamenyanganywa mashamba yao yakapimwa viwanja na wenye mashamba wakaambiwa waombe kama kawaida,
hilo lako lina guarantee gani kwamba halitapimwa? Kumiliki shamba dar kwa sasa sio dili kabisa
mkubwa hili shamba lina guarantee maana mradi umeishia mkize..tunaweza kwenda ardhi kwa kuthibitisha hili..
MEasurement plz ya hilo shamba wengine hawataniwi humu mkuu