dronedrake
JF-Expert Member
- Dec 25, 2013
- 23,901
- 58,103
Uchumi wetu ni wa kisiasa tena ya majukwaani!! Wa Kenya wanauza maua nje na dola inakuja kwa uwingi, sisi dhahabu wanauza acacia, samaki wanauza wahindi DOLA utaiona wapi?!Habari za mda huu wana jamii
kwa wenye ujuzi nini kina happen bongoland kwetu au kwa obama maana si kuporomoka uku kwa Tsh. dhidi ya dolari ndani ya siku 2 izi
1 dolari yaelekea 2500 TSh. kwa mdu huu
Makinikiatunauza nini nje?
Haina madhara kwa Masikini kama wewe...!Kwa waliongalia trend ya shilling yetu dhidi ya dola inashuka balaa kuanzia jioni hiiView attachment 623497View attachment 623498View attachment 623499View attachment 623500
Watu wenye uelewa na hii hali watusaidie jamani.
Je hii haina madhara katika uchumi wetu?
Kwani navyo (mchele/sembe) haviwezibkupanda kupitia hili??Haina madhara kwa Masikini kama wewe...!
Kwanza huna hata akiba ya Pesa Benki, mshahara wote wa October umekwisha lipia Madeni...!
Dola ya Kimarekani, imewahi kuwa sawa na Shilingi mia moja ya Tanganyika...!!
Umepata Madhira gani Kiuchumi mpaka sasa.
Shukuru Mchele na Sembe ama Ngano, vingali na bei ileile...!