Mhh!!! Hii kaliJaribu yafuatayo;
4. Huenda una tabia ya kutuma messages to the air. Acha na uwe unatuma kwa mhusika tu.
5. Huenda pia unayemtumia hizo messages humpendi, hivyo anakuboaboa. Mtafute mteja usiyemmaliza wala kumbakiza.
Wee,tafuta mkuyati fasta,simu isije ikazima kabisa!!Nina simu yangu, si kubwa wala si ndogo. Tatizo kila nikiitumia kutuma meseji, inatuma mara moja, na chaji inaisha hapo hapo. Nikisema niichaji, inachukuwa muda kujaaa...... Nifanyaje.....!!!???
Duh! Simu hewa tena???Hayo ndio madhara ya kupiga simu hewa mara kwa mara...
Ndio manake...! Madhara ya kujichuwa!Duh! Simu hewa tena???