Jamani Standing order Inasemaje kuhusu Uhamisho?

Nswima John Edward

JF-Expert Member
Joined
Oct 25, 2012
Posts
612
Reaction score
312
Hili suala lina nizingua sana. Nimesoma post za watu kwenye uzi mmoja "sticky" hapo juu kuhusu mambo ya kubadilishana vituo vya kazi.
Nafikiri kinachotushinda wengi hatujasoma standing orders juu ya uhamisho. Mwenye access na huo msaafu atusaidie, wapi wamesema lazima mtu kuhama abadilishane na mwingine? Hakuna sababu ya msingi ambayo inaweza kusababisha mtu akahama/kujihamisha mwenyewe kutoka sehemu moja hadi nyingine mbali na kubadilishana? Na vipi if you have a critical reason of transer, and you have looked for someone to exchange workplacess and you have failed, what happen? Do you continue to suffer because you have missed someone to exchange? Hebu mwenzenu nitoeni tongo tongo katika hili, kwa sababu mm mwenyewe ni muhanga wa hili.
 


Pitia, hii hapa Public Service Standing Orders.
 

Attachments

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…