ngoshwe
JF-Expert Member
- Mar 31, 2009
- 4,131
- 937
Wakuu hii habari ya ving'amuzi ni kero unaweza hata kupiga mtu. Yaani king'amuzi kinarusha picha inanatia kama wale jamaa wa Temeke. Hata ukirekebisha baada ya muda mnato unaendelea,habari zina katika katika. Kwa kweli TACRA japo nanyi mnahamasisha kununua ving'amuzi vya Star Time, wananchi vinatuumiza na hakuna "value for Money". Hii ni kero kubwa.