Jamani tafadhalini naomba tulijadili na hili !!!???

MADESI

Member
Joined
Feb 8, 2013
Posts
27
Reaction score
7
Jamani mimi nataka tushirikiane kwa hili.

Ni kwa nini wanasiasa wengi wanapenda kutumia siasa katika mambo yanayohitaji zaidi sayansi na ufahamu wa kitaalamu????????


ELIMU NI UFUNGUO WA MAISHA.













 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…