Jamani tamisemi toeni ajira basi

Jamani tamisemi toeni ajira basi

Ni kheri ukaacha kuzifikiria hizo ajira maana ukiendelea kuzifikiria siku wanatangaza ukaomba Kisha ukaja kukosa maumivu yake huwa ni makubwa sana.
 
Sikweli mimi nimeomba mara na kukosa ila ni bora kuomba na kukosa kuliko kuto tangazwa, kutotangazwa maanayake mwaka umeenda bure na kutokuwa kwenye nafasi ya kupata kabisa.

Ajira ni bahati ila hio bahati saga kabisa kama itatanfazwa na kuomba.
 
Soma tena nilichoandika.
 
Duh Hila sio poa mwaka wa shetani huu vijana tuandamaneni uwenda chura kiziwi akasikia
 
Back
Top Bottom