jamani tamisemi

jamani tamisemi

Waalimuu wanazaraulika sana hahahahhahaha wakigoma wanapigwaa duuu hahaha
 
nikianza kaz nitavumilia nisichoke but now nimechoka
Usijari,ngoja matechnician wafanye mambo kesho tuyatoe,maana form five tumeshatoa,ili mkitoka kanisani kila mtu awe nafuraha
 
Usijari,ngoja matechnician wafanye mambo kesho tuyatoe,maana form five tumeshatoa,ili mkitoka kanisani kila mtu awe nafuraha

bac itakuwa vzur tutamalizia wkiend safiiiii but kama kweli wewe nawe ni mmojawapo wa wahusika ktk tamisem
 
ila walimu na nyie ni wasumbufu... yanu kila saa mnaanzisha thread mpya, ndo mana mnapigwa sa nyingine!!!! kila mtu asiyenakaz angeweka thread yake humu ingekuaje sijui

Zaidi ya wasumbufu wenzao wanasugua kitaa wako kimya wao kelele ndo mana huwa wanaonewa hawajiamini ndo mana wanaenda kufundisha watoto uoga badala ya kujiamini.
 
Back
Top Bottom