FirstLady1
JF-Expert Member
- Jul 29, 2009
- 16,789
- 5,401
Tabia za kila mmoja zinatisha dada, acha tu!
Hata mimi ningekujibu hivyohivyo tu...
WAKE HAMNA, KUNA WANAWAKE TU!
Wanaogopa wakiolewa/kuoa watatakiwa kuacha tabia zao za ujana... Kwa hiyo wakikua, ndio wataoa/kuolewa.
ukiangalia mwenendo mzima wa ndoa za siku hizi ni taabu tupu....watu wanaoana bora ndoa......wengine wanasena kuondoa mikosi.....upendo wa dhati umetoweka imebaki kutamaniana....mwisho wa tamaa ndoa inageuka ndoano....bora kuishi kimjini mjini siku zinasonga
Kwa sababu wote wanakula STAREHE kwanza..... Muda wa kuoa/kuolewa ukifika, ndio wanahaha kutafuta wenzi...Dreamliner ..kwa nini majibu ya kike na kiume yanafanana ??
inategemea na uliowqauliza wengi.Salama iko wana JF?
Nina jambo kidogo linanitatiza katika karne hii ya utandawazi..
Kuna hii issue ya mahusiano yaliyopo sasa....
Ukijaribu kuuliza mabinti issue ya kuoa na kuolewa utasikia majibu yao waoaji hawapo siku hizi
Ukiuliza wanaume nao jibu utasikia ni lile lile siku hizi waolewaji hawapo
Inakuwaje wakati idadi ya single wakike na single wa kiume ni wengi sana
Kwanini jibu linakuwa waoaji waolewaji hawapo?
Hivi kama kila mtu ana majibu ya dizaini hii nini hatima yake??
Kulikoni?
Kwa jibu lako hili Blackwoman inaonyesha tumeshakata tamaa ya maisha??
salama iko wana jf?
Nina jambo kidogo linanitatiza katika karne hii ya utandawazi..
Kuna hii issue ya mahusiano yaliyopo sasa....
Ukijaribu kuuliza mabinti issue ya kuoa na kuolewa utasikia majibu yao waoaji hawapo siku hizi
ukiuliza wanaume nao jibu utasikia ni lile lile siku hizi waolewaji hawapo
inakuwaje wakati idadi ya single wakike na single wa kiume ni wengi sana
kwanini jibu linakuwa waoaji waolewaji hawapo?
Hivi kama kila mtu ana majibu ya dizaini hii nini hatima yake??
Kulikoni?
Sasa hili ni tusi....sema wamepungua au wako wachache!!Tabia za kila mmoja zinatisha dada, acha tu!Hata mimi tningekujibu hivyohivyo tu...WAKE HAMNA, KUNA WANAWAKE TU!