cjambo kabisa hofu kwako kipenzi, hivi lengo la ndoa ni kuanzisha familia? au cjakuelewa luv, hebu nidadavulie.
Nikikuona u mzima na mi lazima niwe mzima....
Kuanzisha familia yaweza kuwa lengo mojawapo......(ofkoz its a must kwa jamii zetu)..
Kama lengo (mojawapo) ni kuanzisha familia....umri ni muhimu sana......
hapo nimekupata,bac kila mtu ana lengo lake na ndoa....
kwani mimi na wewe tuna malengo yapi ya ndoa mpenzi....hapa biya zinafanya nishindwe kukumbuka....
Btw: Malengo ya ndoa sio universal....japo la kuanzisha familia ni the oldest and most common....
Na wewe ndo unaconfirm kabisa kwamba hakuna waolewaji..
Naona hili ni tatizo Tunakoelekea nadhani kutakuwa na mikataba ya ndoa lol
cc tulioana kwa mapenzi/mapendo ya kuishi pa1 mpaka kifo kitutenganishe, baada ya hapo tukamtanguliza Mungu atuwezeshe kuanzisha familia bora na akatuwezesha ndio mana bado tunafurahia mapenzi yetu.....swir punguza biyakama unaanza kupoteza kumbukumbu sasa.
wakaka wanadai at any time t kila anachokitaka anakipata wat next hamna jipya, lamsingi ni kuwaelimisha dada zetu kuwa kauzo kwenye suala lazima la kusex hadi kieleweke kwa wazazi, wadada ndo chanzo cha kuinfluence hiyo misemo kwa kushindwa kuwa wavumilivu, siku zote anayekupenda atakuwa mvumilivu kwako!!!!!!!!!!!!!!!!!
Hommie kama pombe ingekua sio lazima mi ningeaacha siku mingii!Napeleka mjengoni idodomya hoja....
Hoja ya kufungwa TBL/SBL.....wakifunga tu...mi naacha......
Hommie kama pombe ingekua sio lazima mi ningeaacha siku mingii!
Tatizo siku hizi vijana wamekuwa wakichagua mtu kwa kigezo sura,umbo na pia mnaangalia ana nini.
Kwa sababu wote wanakula STAREHE kwanza..... Muda wa kuoa/kuolewa ukifika, ndio wanahaha kutafuta wenzi...
hiyo ni sababu nyingine inayowafanya watu wanaingia kwenye ndoa ili mradi ndoa esp wanawake, kwa kuhofia"umri" hakuna umri sahihi wa kuoa/lkuolewa, jamii yetu inatakiwa ibadilike sana juu ya hili coz ni mojawapo ya sababu zinazopelekea ndoa kuwa ndoano, mtu aliolewa coz ya kuhofia umri.
Kuna hii issue ya mahusiano yaliyopo sasa....
Ukijaribu kuuliza mabinti issue ya kuoa na kuolewa utasikia majibu yao waoaji hawapo siku hizi
Ukiuliza wanaume nao jibu utasikia ni lile lile siku hizi waolewaji hawapo
Inakuwaje wakati idadi ya single wakike na single wa kiume ni wengi sana
Kwanini jibu linakuwa waoaji waolewaji hawapo?