we acha tu Mkuu.Mkuu never ever do that again
Kukaa na watoto wako sijui na mke wako na wageni sebuleni mnaangalia Tv kwa pamoja hasa hizi tv za wabongo ambazo kwao tangazo lolote linatolewa hata kama linaviolate the rules
tafuta hata kiTV chako cha inc 14 ukiweke rum uangalie na mkeo
utakuja umbuka siku moja wanaweka tamthilia zao hizi wanaonyesha jamaa wanavuana nguo wanapanda kitandani kwa mahaba na uko na mama mkwe wako mnaangalia au na mtoto wako mdadisi anakuuliza mbele ya mama mkwe eti dady wale wanafanya nini
Sijui utakimbilia wapi au utajiuma uma na kuipotezea
Ila hapo ujue aibu tayari
Mkuu never ever do that again

Rocky ila once in a while kaa kando jifanye unasoma gazeti observe
wanaoa channels wanachagua na kutafuta... na pia maongezi yao
dhidi ya vipindi... inakupa saana picha level ya mwanao ya kufikiri iko
vipi na mambo gani likely anajua....
Nakubaliana na wewe si kwamba uabandon sebule yako kabisa
Ila sometime unakaa nao kwa muda mfupi uangalie ni nini anachoangalia na ni vipindi gani anapenda
na mtizamo wake kwenye vipindi vya tv ukoje na nini anachojifunza humo
Ni kwa muda mfupi ili usije kuumbuka maana mwanangu wa kiume akiona tounge kiss ananiambia dady ile mbaya
Mkuu never ever do that again
Kukaa na watoto wako sijui na mke wako na wageni sebuleni mnaangalia Tv kwa pamoja hasa hizi tv za wabongo ambazo kwao tangazo lolote linatolewa hata kama linaviolate the rules
tafuta hata kiTV chako cha inc 14 ukiweke rum uangalie na mkeo
utakuja umbuka siku moja wanaweka tamthilia zao hizi wanaonyesha jamaa wanavuana nguo wanapanda kitandani kwa mahaba na uko na mama mkwe wako mnaangalia au na mtoto wako mdadisi anakuuliza mbele ya mama mkwe eti dady wale wanafanya nini
Sijui utakimbilia wapi au utajiuma uma na kuipotezea
Ila hapo ujue aibu tayari
yaani mimi nachoka kabisa,i hope watu wa TCRA wanaingia humu mmu.Kaka unavyosema ni kweli lakini sasa hata kama sebuleni amemwacha mama mkwe na watoto inamaanisha taarifa ya habari hawataangalia, au ndio wataweka cd tu kila kukicha, na unakuta miongoni mwa watoto wako yupo mmoja anapenda sana kuangalia taarifa ya habari ili ajue yaliyojiri duniani, kusemakweli mkuu hivi vyombo vya habari havijari hilo, na hili ni hatari kwa taifa zima, matangazo kama hayo wangekuwa wanayaweka usiku wa manane. Au mwasemaje waungwana.
yaani Asha malezi ya kileo kwenye utandawazi kaaaazi kweli kweli.Rocky ila once in a while kaa kando jifanye unasoma gazeti observe
wanaoa channels wanachagua na kutafuta... na pia maongezi yao
dhidi ya vipindi... inakupa saana picha level ya mwanao ya kufikiri iko
vipi na mambo gani likely anajua....
kama walivyosema wakuu hapo juu ndo umekaa na ma mkwe,lol!Lakini mkuu hii si kwa TBC peke yake...inatokea kwa almost TV zetu zote iwe za bongo na hata za nje pia! na hizi movie zetu za kibongo ambazo pengine watoto na wanawake ndio hupendelea sana, siku hizi mambo hayo ndio nje nje! kwakweli bora kuwa na ka-Tv kako chumbani...maana waweza umbuka ati..oohooo!
Kaka unavyosema ni kweli lakini sasa hata kama sebuleni amemwacha mama mkwe na watoto inamaanisha taarifa ya habari hawataangalia, au ndio wataweka cd tu kila kukicha, na unakuta miongoni mwa watoto wako yupo mmoja anapenda sana kuangalia taarifa ya habari ili ajue yaliyojiri duniani, kusemakweli mkuu hivi vyombo vya habari havijari hilo, na hili ni hatari kwa taifa zima, matangazo kama hayo wangekuwa wanayaweka usiku wa manane. Au mwasemaje waungwana.
yaani mimi nachoka kabisa,i hope watu wa TCRA wanaingia humu mmu.
yaani Asha malezi ya kileo kwenye utandawazi kaaaazi kweli kweli.
Kitu ambacho wazazi tunakosea ni ile hali ya kufikiri kua tukiwaachia watoto wawe
modern moja kwa moja ndo usasa... haya mambo ya media haya inabidi kua makini saana.