Bishara mchomvu
Member
- Apr 3, 2013
- 53
- 0
Jamani wandugu, tcu majanga ma2pu. Program nilizokuwa nimejaza, mwanzoni niliwekea YES zote but leo nashangaa leo nimewekewa NO kwenye program nilizokuwa na sifa nazo. Sasa muda umeshapita itakuwaje wenzangu?
Jaman afu na chuo ni mwez wa ngap
nasikia chuo january kwa ajili ya wanaokwenda jeshini