Isaack Daniel
Member
- Oct 21, 2012
- 21
- 0
Jamani wana JF,mimi ni mhitimuwa kidato cha 6 mwaka 2012,nahitaji kuomba chuo mwaka huu,nilifungua web ya tcu nikakuta ujumbe usemao aplication kwa wahitimu kuanzia 1988 hadi 2012,imeanza na mwisho wa kuaply ni tar 30 april.Na card za malipo zinapatikana bank ya NBC
Cha ajabu ndugu zangu,nimetembelea bank ya NBC tawi la sumbawanga ilikununua kadi,jibu nililopewa na wahudumu wa BANK ni kwamba card bado hazijaletwa na tcu,zitaletwa pindi matokeo ya form6 yatakapo toka.
Sasa wana JF,kwa wale ambao wanafahamu utaratibu wa applcation naomba mnijuze maana muda unaenda.