Jamani tcu mbona hamueleweki?Tupeni uhakika wa tangazo lenu...

Isaack Daniel

Member
Joined
Oct 21, 2012
Posts
21
Reaction score
0
Jamani wana JF,mimi ni mhitimuwa kidato cha 6 mwaka 2012,nahitaji kuomba chuo mwaka huu,nilifungua web ya tcu nikakuta ujumbe usemao aplication kwa wahitimu kuanzia 1988 hadi 2012,imeanza na mwisho wa kuaply ni tar 30 april.Na card za malipo zinapatikana bank ya NBC
Cha ajabu ndugu zangu,nimetembelea bank ya NBC tawi la sumbawanga ilikununua kadi,jibu nililopewa na wahudumu wa BANK ni kwamba card bado hazijaletwa na tcu,zitaletwa pindi matokeo ya form6 yatakapo toka.
Sasa wana JF,kwa wale ambao wanafahamu utaratibu wa applcation naomba mnijuze maana muda unaenda.
 
Application zemeanza kwa waliomaliza Form Six kuanzia mwaka jna kurudi nyuma kwa mliomaliza form six mwaka huu ni mpaka matokeo yenu yatoke ndio mtaweza kuapply, Swala la Vocha nadhani ni Brachi manager wa Hapo Sumbawanga ndio kilaza kwani ni kagera Muleba na nimepata vocha hapa NBC na nimemsaidia mtu kuapply leo asubuhi. namna nzima ya kuapply iko kwenye www.tcu.go.tz link ya CAS.. categori yako ni form six ukiingi utakuta kitu cha namna hii





[TD="width: 79%"] Home | Registration
[/TD]
[TD="width: 21%, colspan: 2"][/TD]

[TD="width: 11%"] [/TD]
[TD="width: 10%"] [/TD]

[TD="width: 21%, colspan: 2"][/TD]

[TD="colspan: 3"] [/TD]

[TD="width: 79%"]Please Fill The Registration Form Below To Create Your Account
Select Your Category
Form 6 Holders of Foreign Certificate(s) RPL NTAL6/Diploma Teachers
[/TD]
[TD="width: 21%, colspan: 2"][/TD]
[TABLE="align: center"]
[TR="bgcolor: #42980B"]
[TD="colspan: 2"][/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[TABLE="align: center"]
[TR="bgcolor: #0479C0"]
[TD="width: 694"]Home | Registration[/TD]
[TD="width: 200, align: left"]

[TD="width: 144, align: left"] [/TD]
[TD="width: 55, align: left"] [/TD]
[/TD]
[/TR]
[TR="bgcolor: #2BAEEE"]
[TD="colspan: 2"][/TD]
[/TR]
[TR="bgcolor: #FFFFFF"]
[TD="colspan: 2"]

[TD="width: 337"]

[TD="width: 539"]


[/TD]
[/TD]
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]



 

wewe kama una ndugu yuko mikoa mingine mwombe akununulie hiyo vocha NBC afu akutumie hizo namba ili uweze kuaply na siyo kulalamika,tumia maarifa yako na siyo kulaumu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…