Elections 2010 Jamani temeke vipi??

Elections 2010 Jamani temeke vipi??

Wezere

Senior Member
Joined
Nov 2, 2010
Posts
109
Reaction score
24
Wenye habari za Temeke mambo yakoje huko maana niliskia jana kulikuwa hakukaliki
 
Confirmed: aliyemrushia JK matusi Kapeta - 52%.
 
Duh kuna ukweli hpo lete hesabu maana itakuwa balaa kule mjengoni
 
Temeke niijuavyo mimi CCM huwa wanashindaga
 
Temeke niijuavyo mimi CCM huwa wanashindaga

Mkuu hata kawe huwa ccm wanashinda lakini mambo yapoje mwaka huu!!
Raia wa Tmk hawachakachuliki jana walionyesha advertise tandika so ccm wathubutu waone moto wake.
 
data please, maana hata mi nilisikia temeke si riz'ki
 
Katika record zangu ninazochukua za wagombea waliotangazwa na tume, (bahati mbaya sichukui idadi ya kura) inaonyesha:-

abbas mtemvu wa ccm ameshinda.
 
Kwa kweli ni aibu kwa majimbo mengi ya Dar kuchukuliwa na CCM tena...! We need to strategize a way ya kuondokana na CCM Dar es Salaam kwa kweli...! Bora hata SAU au hata Jahazi Asilia wachukue kuliko CCM tena
 
Back
Top Bottom