Jamani Tete Mariah Miss Ilala 2004 Yuko Wapi?

Bado hujaenda deep endelea tu kumtongoza.
 

Aliyekulia TZ si rahisi kupoteza maneno ya kiswahili.
Macos kuna wanigeria angalia wasikuingize mjini.Huu ndo utandawazi
 
Angalia mambo ya utandawazi yalivyo:

ATTN: WINNER,


Your E-Address was selected for category B in this weeks International
United Kingdom Lotto programme. These are your details.

ticket number:56475600545188
fileXYL/26510460037/05

Your draw has a total value of One Million Pounds(£1,000.000.00).

Full Names:____________
Address:_________________
Age:____________________
Occupation:_________________
Telephone:________________
Sex:______________________


NAME: Mr. Richard Barnard
E-mail: theclaimsofficerrichard01@yahoo.com.hk
 
Skills,

Kuna mtu katika "online booty fishing" kakutana na picha za mdada wa kibongo, akasomesha akaona mdada mwenyewe hajui kiswahili halafu anaomba hela ya tiketi.Anatoa alarm kwa mdada halisi mwenye picha zake kwamba watu wanatumia picha na jina lake kwa utapeli.

Washashi badala ya kujadili issue wanamzonga.

Y'all gotta be careful with your profiles out there.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…